Habari za Global Newsbeat 1500 EAT 25/05/2017
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamuziki Ariana Grande afuta tamasha zake za muziki kufuatia shambulizi la Manchester

Mwanamuziki Arina Grande, ameahirisha tamasha zake mbili ambazo zilikuwa zifanyike siku ya Alhamisi, na Ijumaa hii kufuatia shambulio la siku ya Jumatatu huko Manchester.

BBC imearifiwa kwamba polisi wa Uingereza wameacha kubadilishana taarifa za usalama kuhusu shambulio la Manchester, baada ya kufichuka kwa taarifa zinazoaminika zilitolewa na majasusi wa Marekani.

Sikiliza hayo na mengineyo.