Habari za Global Newsbeat 1000 EAT 26/05/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 EAT 26/05/2017

Kwenye Global Newsbeat hii leo tunauliza, nani aliye na haki ya kuweka vipimo ama viwango vya maadili? Msichana mmoja mwenye umnri wa miaka 18 nchini Marekani amezuiwa kushiriki hafla ya kufuzu shule ya upili baada ya kutungwa mimba katika shule ya kikiristo! Usimamizi wa shule hiyo unasema ni lazima msichana huyo awajibikie ukosefu wa maadili...Sema nasi kwenye facebook BBC Swahili