Trillionaire atamba na rumba Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Trillionaire atamba na rumba Tanzania

Muziki una vionjo na ladha mbalimbali, Rhumba ni miongoni mwa ladha ya ya muziki yenye asili ya Congo, Huko nchini Tanzania wanamuziki wapya wengi huingia katika muziki wa bongo fleva lakini ni wachache hufanya maamuzi ya kuingia katika mziki wa rhumba.

Mwanamuziki TRILLIONAIRE ameingia rasmi katika mziki wa rumba, tofauti na wanamuziki wengine , yeye anaona kuwa Rhumba ndio muziki utakaompa mafanikio.

Munira Hussein alizungumza nae na kuandaa taarifa ifuatyo

Mada zinazohusiana