Msitu unaotumiwa na al-Shabab kusafirisha wanawake mateka

Msitu unaotumiwa na al-Shabab kusafirisha wanawake mateka

Wanawake wengi wanasema waliwekwa Msitu wa Boni mpakani mwa Kenya na Somalia katika kambi za wapiganaji wa al-Shabab au kusafirishwa kupitia njia za misitu mikubwa hadi Somalia.

Vikosi vya Kenya hushika doria katika eneo hili, lakini eneo lenyewe ni kubwa na halipitiki kwa urahisi.