HABARI ZA GLOBAL NEWSBEAT 1000
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 29/05/2017 saa 1000 EAT

Kwenye Global Newsbeat:Nahodha wa Chelsea John Terry amesema bado hajaamua kama atastaafu soka moja kwa moja ama ataendelea kwenye timu nyingine.

Difenda huo ataiaga Chelsea msimu huu baada ya kusalia zaidi ya miongo miwili katika uwanja wa Stamford Bridge.Swansea,West Brom na Bournemouth zote zimeonyesha nia ya kupata huduma ya gwiji huyo huku kuhamia Marekani ama China ikiwa ni chaguo jingine.

Mada zinazohusiana