Habari za Global Newsbeat 1500 EAT 29/05/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 EAT 29/05/2017

Kwenye Global Newsbeat: Mtafiti kutoka nchini Kenya,Isaac Wamalwa amebaini kwamba,watu ambao huendesha baiskeli hasa boda boda wako katika hatari ya kupoteza hamu ya kufanya mapenzi.

Je unakubaliana na utafiti huo?Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com