Hali ya kiuchumi kubadili utaratibu wa futari;Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Hali ya kiuchumi kubadili utaratibu wa futari nchini Tanzania

Hivi sasa waislam duniani kote wamo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani , nchini Tanzania imezoeleka waislam kufuturu nje ya nyumba kama sehemu ya ukarimu kwa wageni na wapita njia mbalimbali ambao huweza kujumuika na familia hizo kupata futari, lakini katika miaka ya hivi karibuni utaratibu huo hautumiki sana, je tatizo nini?

Mwandishi wa BBC munira Hussein alitembelea maeneo kadhaa na kuandaa taarifa ifuatayo.