Bidhaa zinafaa kufungashwa sokoni Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Bidhaa zinafaa kufungashwa sokoni Tanzania?

Haba na Haba leo inaangazia vifungashio ambapo kwa mujibu wa wataalamu, bidhaa nyingi za vyakula zinazozalishwa nchini Tanzania zilizoko madukani na sokoni hazijafungashwa.

Je, unauona msukumo wa jamii na serikali, katika matumizi ya vifungashio kwenye bidhaa?

Mada zinazohusiana