Wanawake Dar watumia damu kutengeneza chakula cha mifugo
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake Dar watumia damu ya ng'ombe kutengeneza chakula cha mifugo

Kundi moja la kina mama mjini Dar es Salaam, wakiwemo wajane na waathriwa wa Virusi vya Ukimwi, wameungana na kubuni njia ya kuvutia ya kupata riziki kupitia utengenezaji wa vyakula vya mifugo kwa kutumia damu ya ng'ombe.

Kina mama hao wameanzisha biashara hiyo kujikimu kimaisha na kujitegemea licha ya changamoto wanazopitia.

Mwandishi wa BBC Munira Hussein aliwazuru kina mama na kuandaa taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana