Habari za Global Newsbeat 1500 30/05/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 30/05/2017

Matumizi ya mtandao katika upigaji wa kura yanazidi kukua, lakini bado kuna wasiwasi mwingi kuhusiana na iwapo uteuzi utazingatia uwazi, usalama na haki kwa kila mwananchi.

Je ni bora kupiga kura katika vituo vya upigaji kura au kutumia simu yako ya smartphone?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com

Mada zinazohusiana