Habari za Global Newsbeat 1000 31/05/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 31/05/2017

Leo kwenye Global Newsbeat: Uzbekistan imepiga marufuku michezo kadhaa ya video inayodai kuwa inaiingilia maadili na kuhatarisha usalama wa taifa. Miongoni mwa michezo hiyo ni GTA Call of Duty: Black Ops, na Resident Evil, maamlaka zikisema inachangia uhalifu na kueneza ponografia.

Je, unakubaliana na hatua ya serikali ya taifa hilo.

Sema nasi!