Habari za Global Newsbeat 1500 31/05/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 31/05/2017

Leo kwenye Global Newsbeat: Arsene wenger ameweka saini mkataba mpya wa miaka miwili Asenali!

Amekuwa mkufunzi wa klabu hiyo kwa miaka 21, amenunua wachezaji 162, ametumia kitita cha pauni milioni 700, na ameshinda vikombe 16!

Mashabiki wa soka mna yepi ya kusema? Tujadiliane!