Habari za Global Newsbeat 1000 1/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 1/06/2017

Leo Kwenye Global Newsbeat: Unakubaliana na uamuzi huu…?

Mahakama moja Ujerumani imeamua kwamba wazazi wa msichana aliyeaga dunia mwaka 2012 kwa kugongwa na treni, hawana haki ya kufikia maelezo kwenye akaunti yake ya Facebook. Wazazi hao wanataka kujua iwapo msichana huyo,15, alijiua kutokana na kudhulumiwa ama uonevu kwenye facebook. Facebook inasema akaunti hiyo haifai kuingiliwa kulingana na sharia za usiri.