Habari za Global Newsbeat 1500 1/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 1/06/2017

Leo kwenye Global Newsbeat: Mkoba uliotengenezwa kwa kutumia ngozi ya mamba wa ‘Himalaya’ iliyopambwa kwa dhahabu umeandikisha historia kwa kuwa mkoba uliogharimu pesa nyingi zaidi kwenye mnada. Umegharimu $299,000; £206,000!