Habari za Global Newsbeat 1000 2/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 2/06/2017

Leo kwenye Global Newsbeat: Je, huwa unanawa mikono kwa kutumia maji baridi ama moto? Kati ya maji moto na baridi ni yepi yaliyo na uwezo mkubwa wa kuua viini hatari mwilini? Sikiliza na uchangie maoni yako hapa!