Afrika pichani wiki hii : 26 Mei - 1 Juni 2017

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Jumatatu, polsi wa kike wa Nigeria Monday,akionesha ukakamavu wake katika siku ya sherehe za siku ya Demokrasia - ambayo ni kumbu kumbu ya kumalizika kwa utawala wa kijeshi
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Olufunke Oshonaike wa Nigeria akishiriki mashindano ya wanawake ya Women Single 1 Round katika mashindano ya dunia ya mchezo wa Tennis World nchini Ujerumani Jumatano
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Jumanne , Mtanzania Emmanuel Rutema akijaribu kuvaa mkono bandia baada ya mkono wake kukatwa na mtu ambaye alitaka mkono wa mlemavu wa ngozi kwa sababu zenye imani ya utata
Haki miliki ya picha Michael Khateli
Image caption Kituo cha udhibiti wa safari za Leri cha Mombasa Kenya kinachofanana na cha safari za anga kilizinduliwa kwa ajili leri mpya iliyojengwa na wachina Jumatano
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Jumamosi , rais wa Kenya President Uhuru Kenyatta, rais wa Guinea Alpha Conde, rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Akinwumi Adesina, Makamu rais wa Nigeria Yemi Osinbajo na Waziri Mkuu wa Ethiopian Hailemariam Desalegn (Lkushoto kuelekeaa kulia) wato wakiwa wamesimama kwa ajili ya kupiga picha na rais wa Marekani Donald Trump katika kikao cha G7.
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Bwana Trump pia ana mashabiki kusini mashariki mwa Nigeria, ambako baadhi ya watu waliadhimisha miaka 50 tangu kutangazwa kwa uhuru wa Biafra on Tuesday Jumanne
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Watoto hawa mjini bidjan, Ivory Coast, wanajifunza kuhusu vita vya wenyewe kwa njia ngumu sana - ya picha za wakati huo
Haki miliki ya picha AFP/PGDBA ^ HND
Image caption Wasichana wa Chibok waliookolewa kutoka mikononi mwa wanamgambo wa kiislam wa Boko Haram walianza kusaidiwa kurejea katika maisha ya kawaida katika mji mkuu wa Nigeria Abuja wiki hii
Haki miliki ya picha Huw Evans picture agency
Image caption Ijumaa mchezaji wa soka wa Guinea Salif Sylla akiwa uwanjani wakati wa mchuoano wa kombe la dunia la vijana walio chini ya umri wa miaka 20 World Cup katika mchezo baina ya Guinea na Korea Kusini huko Argentina
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Jumatanu, mwanamuziki maarufu wa Ivory Coast bendi Magic System alipotembelea shule yenye jina la bendi hiyo mjini Abidjan.
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Wachezaji ngoma wa kikundi cha kitamaduni cha Wakongo walionyesha ngoma ya taifa la DRC mjini Bhopal, India, India siku hiyo .