Polisi wakamata watu 12 kufuatia shambulizi la London

Counter-terrorism police

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Polisi wa kupambana na ugaidi

Polisi mjini London, wanasema wamewakamata watu 12, katika maeneo tofauti mtaa wa Barking, mashariki mwa jiji, kuhu-siana na shambulio katika Daraja la London, ambapo watu 7 waliuwawa, na 48 kujeruhiwa.

Polisi wanasema wanaendelea kufanya msako katika eneo hilo,.

Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May, anasema uchaguzi mkuu wa Alhamisi, licha ya kutokea shmbulizi la tatu katika muda kama huo.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha,

Maua yaliwekwa eneo la shambulizi

Alisema ghasia zisiruhusiwe kuchafua utaratibu wa demokrasi.

Alielezea shambulio hilo, kuwa msimamo unapotosha Uislamu na ukweli.

Watu 21 wako katika hali mahututi.

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Polis wakisaka nyumba mashariki mwa London

Maelezo ya picha,

Ramani ya eneo kulitokea shambulizi