Habari za Global Newsbeat 1000 5/06/2017

Habari za Global Newsbeat 1000 5/06/2017

Kiwanda cha mvinyo huko Ukraine kinachotengeneza bia tofauti na kuzipatia majina ya viongozi wakuu ulimwenguni, hivi majuzi kimezindua mvinyo kwa jina Donald Trump.

Je, wewe ungebugia kinywaji cha kiongozi yupi na kwa nini?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com