Habari za Global Newsbeat 1500 5/06/2017

Habari za Global Newsbeat 1500 5/06/2017

Leo ni siku ya Mazingira duniani, hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro imeahidi kuendelea kutunza na kuboresha mazingira ya eneo la Mrusungu ambapo ndipo ulipo mti mrefu zaidi barani Afrika.

Je wewe unatumia mbinu gani kuimarisha mazingira yako?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCswahili.com