Wagonjwa wa kiakili wanahudumiwa vyema Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Wagonjwa wa kiakili wanahudumiwa vyema Tanzania?

Kwa mujibu wa shirika la afya duniani mtu mmoja kati ya watu 20 aliugua au anaugua ugonjwa wa akili duniani.

Leo, katika Haba na Haba, tunahoji kuhusu huduma sahihi za afya kwa wagonjwa wa afya ya kiakili.

Je, zinakidhi mahitaji katika eneo lako?

Mada zinazohusiana