Habari za Global Newsbeat 1000 6/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 6/06/2017

Kiungo wa zamani wa timu ya Newcastle United Cheick Tiote, amefariki akiwa na umri wa miaka 30 baada ya kuzimia wakati wa mazoezi huko China.Kabla ya kwenda China Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast alikaa miaka saba Newcastle na kuwachezea mechi zaidi ya 150.

Je, unaweza kukumbuka mechi yake yoyote alipokuwa na klabu ya Newcastle?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com