Habari za Global Newsbeat 1500 6/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 6/06/2017

Kijiji kimoja cha starehe kilicho kusini mwa Ufaransa kimekumbwa na wasi wasi baada ya zaidi ya paka 200 wa kurandaranda na wa kufugwa kufa ndani ya mwezi mmoja baada ya kula sumu.Kisa hicho kimetokea eneo la Saint Pierre.

Je, paka ana umuhimu wowote kwa jamii?

Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com