Rubani anayewafunza watoto urubani Kenya

Nchini Kenya rubani mstaafu Nick Ng'ethe ameamua kuanzisha mafunzo maalum ya urubani kwa vijana kutoka familia maskini waliyo na ndoto ya kuwa Rubani.