Habari za Global Newsbeat 1000 9/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1200 9/06/2017

Kwenye Global Newsbeat hii leo: Manchester United inamtema mshambuliaji matata Zlatan Ibrahimovic mwisho wa mwezi huu kandarasi yake ikikamilika. Ibrahimovic aliichezea Man-U mechi 46 na kufunga mabao 28 msimu huu.