Mazao ya chai nchini Kenya mwaka huu yanatabiriwa kupungua
Huwezi kusikiliza tena

Mazao ya chai nchini Kenya mwaka huu yanatabiriwa kupungua

Mazao ya chai nchini Kenya mwaka huu yanatabiriwa kupungua kwa kiasi kikubwa kutokana na hali ya ukame mwaka jana.

Kenya inaongoza duniani katika uuzaji wa chai hivyo hali hii itaathiri soko la kimataifa. Tayari zao hilo katika robo ya kwanza ya mwaka huu imepungua kwa thuluthi na kuzua hofu kuwa uchumi wa nchi hiyo utapata pigo.

Mwandishi wa BBC Anne Soy alitembelea kijiji cha Ngari katika eneo la Kati ya Kenya kushuhudia athari hizo za ukame