Mfungwa aachiliwa baada ya mtu wanayefanana kupatikana Marekani

Ricky is pictured on the left, and Richard is pictured on the right. Haki miliki ya picha Kansas City Police Department
Image caption Richard Anthony Jones (pictured right) was released because investigators found his lookalike (left)

Mfungwa mmoja ambaye alikaa gerezani miaka 17 kwa uhalifu wa wizi ambao hakutenda ameelezea furaha yake baada ya wachunghuzi kumpta mtu anayemfanana.

Richard Anthony Jones kutoka jimbo la Kansas aliachiliwa kutoka gerezani baada ya watoa ushahidi kusema kuwa hawangetofautisha kati ya wanaume hao wawili.

Kufuatia hilo jaji akaamua kuwa hakukuwa na ushahidi wa kuendelea kumzuia gerezani.

Bwana Jones anasema kupatikana picha ya mwanamume ambaye wanafanana na aliye na jina la kwanza kama lake ni kama baraka.

Haki miliki ya picha Kansas City Police Department
Image caption Bwana Jones (kulia) na mtu wanayefana naye

Hata hivyo hakuna kesi iliyowaslishwa dhidi ya mtu wanayefanana ambaye alitoa ushiai katika kshi ya Jones na kukana mwenyewe kutenda uhalifu

Bwana Jones alihukumiwa kufuatia ushahidi uliotoleka na watu walioshuhudia.

Hakukuwa na ushahidi wa DNA au alama za vidole zilizomuhusisha na uhalifu ulitokea.

Haki miliki ya picha GoFundMe
Image caption Richard Anthony Jones alisherehekea na familia yake baada ya kuachiliwa