Habari za Global Newsbeat 1000 12/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 12/06/2017

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema kwamba kujenga ukuta sio suluhu la tatizo la uhamiaji na kuongeza kwamba kuboresha maisha ndiyo suluhu ya kuzuia uhamiaji.

Kwa maoni yako ni vipi swala hili la wahamiaji linavyoweza kukabiliwa?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com