Dansi ya Salsa inavyowavutia wengi Kenya

Dansi ya Salsa inavyowavutia wengi Kenya

Je, unatambua dansi maarufu kwa jina Salsa? Kwa mtazamo wa wengi barani Afrika, Salsa ni dansi ya kigeni inayoendana na muziki wa kigeni.

Hata hivyo dansi hii imepata umaarufu mkubwa nchini Kenya.

Miongoni mwa vijana wanaosema Salsa ni mwondoko wa Kiafrika, ambao ndio sasa unarejea nyumbani.