Habari za Global Newsbeat 1000 13/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 13/06/2017

Norway inapendekeza kupiga marufuku mavazi ya buibui na hijab kwenye shule zao wakidai inaathiri mawasiliano baina ya wanafunzi na walimu.

Je unakubaliana na pendendekezo hilo?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com