Habari za Global Newsbeat 1500 13/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 13/06/2017

Je, ni mbinu gani tunayoweza kutumia kuwafanya watu kula mboga? Watafiti wa Marekani wamesema mboga zinastahili kupewa majina ya mvuto.

Kwa maoni yako majina hayo yataleta mabadiliko yoyote?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com