Habari za Global Newsbeat 1000 14/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 14/06/2017

Leo kwenye Global Newsbeat: Asprini ni hatari zaidi kwa afya ya wazee kuliko ilivyodhaniwa, utafiti umebaini.

Asprini inahatarisha maisha ya watu wazee walio na umri wa zaidi ya miaka 70.

Asprini hutumika kuzuia mshtuko wa moyo na kiharusi, na kwa muda mrefu imekuwa ikihusishwa na kutokwa na damu tumboni.