Habari za Global Newsbeat 1500 14/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 14/06/2017

Wanasayansi wa China watafanya jaribio la kukuza viazi mwezini.

Viazi hivyo vitafungiwa ndani ya 'ikolojia dogo', lengo likiwa kubaini iwapo viazi hivyo vitamea na kutoa ufahamu zaidi kuhusu uwezekano wa binadamu kuishi mwezini.