Jamii inasaidia kudhibiti mimba za mapema Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Jamii inasaidia kudhibiti mimba za mapema Tanzania?

Kifungu cha 13 na 17 vya sheria ya ndoa nchini Tanzania kinaruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 kwa kibali cha mahakama na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.

Je, ni kwa namna gani jamii inashiriki kudhibiti tatizo la mimba za utotoni nchini Tanzania?