Habari za Global Newsbeat 1500 15/06/2017

Habari za Global Newsbeat 1500 15/06/2017

Leo kwenye Globa Newsbeat: Je, unaweza ukaambukizwa ugonjwa kwa hiari ili kufanikisha utafiti wa kutafuta tiba?

Wanasayansi wa Uingereza wametoa ofa ya zaidi ya pauni 3000 kwa watakaojitoea kuambukizwa kifaduro (whooping cough)