Habari za Global Newsbeat 1500 16/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 16/06/2017

Wanasema ulemavu sio kilema! Blessing Fire kutoka Zimbabwe ni mfano mwema wa msemo huo.

Blessing ana ulemavu wa miguu na amekuwa gwiji wa kusakata densi maarufu kama ‘break dance’…

Sikiliza kwenye Global Newsbeat.