Umuhimu wa mazoezi kwa watoto
Huwezi kusikiliza tena

Siku ya Mtoto wa Afrika: Umuhimu wa mazoezi kwa watoto

Wakati leo ikiadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika, Bara la afrika limekuwa likithamini na kutambua umuhimu wa watoto katika maendeleo ya jamii.

Lakini Maendeleo ya sayansi na teknologia kama vile kuwepo kwa vipindi mbalimbali vya Televisheni, yanatajwa kuchangia kuvunjika kwa maadili ya watoto katika nchi za Afrika mashariki.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amekutana na mwalimu wa mazoezi kwa watoto kutoka katika asasi isiyo ya kiserikali, inayotoa mazoezi maalum ya viungo kwa watoto wakati wa likizo na hii hapa ni taarifa yake.

Mada zinazohusiana