Mbona Size Eight akatunga wimbo wa Pale Pale?
Huwezi kusikiliza tena

Kwanini Size 8 akatunga wimbo wa Pale Pale?

Je, wamfahamu Mwimbaji mashuhuri Linet Munyali almaarufu Size 8 wa Kenya?

Ameibuka na kuzungumzia maudhui ya wimbo wake unaoitwa Pale Pale, kwamba unamkumbusha safari yake ya maisha tangu enzi za utoto.

Size 8 anasema kwamba alipita milima na mabonde katika maisha yake na sasa anafaidi matunda ya uvumilivu.

Mwandishi wetu John Nene amezungumza na mwanamuziki huyo

Mada zinazohusiana