Malkia Elizabeth: Kuna majonzi kufuatia majanga yaliyoikumba Uingereza

The Queen meets local people Haki miliki ya picha PA
Image caption Malkia akikutana na waathiriw wa moto

Malkia Elizabeth wa Uingereza amesema ni vigumu kuepuka majonzi kufuatia kile alichosema ni msururu wa majanga yaliyokumba taifa hilo hivi karibuni.

Haki miliki ya picha PA
Image caption Malkia akiwa na wananchi

Katika ujumbe wa kuadhimisha rasmi siku yake ya kuzaliwa, malkia amesema watu wa nchi hiyo wameonyesha mshikamano licha ya changamoto zinazoikabili.

Image caption Grenfell Tower

Serikali ya Uingereza imesema itafanya kila iwezalo kurejesha imani ya walioyonusurika mkasa wa mbaya wa motokayika jengo la Grenfel Tower mjini London.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Waandamanajimjini London wakitaka hatua kuchukuliwa

Hii ni baada ya waziri mkuu Bi Theresa May,kuzomewa na waandamanaji waliyokuwa na ghadhabu. Watu thalathini wamethibitishwa kufariki katika mkasa huo.

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Huenda manusura wasipatikane

Hotuba ya Malkia Elizabeth inafuatia shabulizi la kigaidi la mwezi uliyopita mjini Manchester na pamoja na lile la London Bridge.

Haki miliki ya picha PA
Image caption Makumbusho yalewekwa karibu na eneo la tukio