Habari za Global Newsbeat  1000 19/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 19/06/2017

Wanandoa wanaodaiwa kuwa pamoja kwa muda mrefu zaidi wameunganishwa katika maadhimisho ya harusi yao ya miaka 80.Ken Harris mwenye umri wa miaka 102, alisherehekea harusi hiyo mkewe wa miaka 99 baada ya kuachana kwa mara ya kwanza baaada ya kupata jeraha la mguu.

Je, kuna mapenzi ya kweli na ya kudumu?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com