Raia wanaheshimu sheria kuhusu ndoa za watoto?
Huwezi kusikiliza tena

Raia Tanzania wanaheshimu sheria kuhusu umri wa kuolewa?

Kifungu cha 13 na 17 vya sheria ya ndoa nchini Tanzania kinaruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 kwa kibali cha mahakama na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.

Je jamii iko tayari kuheshimu sheria hii?

Mada zinazohusiana