Habari za Global Newsbeat 1500 19/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 19/06/2017

Wanawake wachanga wa Tunisia, hutarajiwa kusalia mabikira hadi wanapoolewa, jambo ambalo limewafanya wanawake wengi kufanyiwa upasuaji ili kurudisha ubirika wao.

Je, mila kama hizi zinastahili kudumishwa au la?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com