Nyota wa filamu Angelina Jolie azuru Kenya

Angelina Jolie azuru Kenya ili kuzungumzia kuhusu dhulma za kingono wakati wa vita
Image caption Angelina Jolie azuru Kenya ili kuzungumzia kuhusu dhulma za kingono wakati wa vita

Nyota wa filamu nchini Marekani Anjelina Jolie yuko mjini Nairobi nchini Kenya ambapo anatarajiwa kuzungumza kuhusu dhulma za kingono katika vita.

Anatarajiwa kuhutubia kongamano liloandaliwa na jeshi la Uingereza la kukabiliana na dhulma za kingono wakati wa vita.