Habari za Global Newsbeat 1000 20/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 20/06/2017

Leo ni siku ya wakimbizi duniani.Kambi ya wakimbizi ya Dadaab ni kubwa ulimweguni na miezi iliyopita wakimbizi kutoka nchini somalia wamerejea nchini mwao ili kuanzisha maisha upya.Lakini baadhi yao wamerudi katika kambi ya Dadaab baada ya kukutana na changamoto kadhaa nchini mwao.

Je, swala hili la wakimbizi litatatuliwa kwa namna gani?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com