Habari za Global Newsbeat 1500 20/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 20/06/2017

Nyota wa filamu nchini Marekani Anjelina Jolie yuko mjini Nairobi nchini Kenya ambapo anatarajiwa kuzungumza kuhusu dhulma za kingono katika vita.

Je, maswala ya dhulma yanastahili kuangaziwa zaidi?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili