Habari za Global Newsbeat 1000 21/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 21/06/2017

Profesa Stephen Hawking ameyataka mataifa yanayoongoza katika maswala ya angani kuwatuma,wanaanga mwezini ifikapo 2020.

Je, ukipata nafasi ya kuishi kwenye mwezi utakubali?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com