Habari za Global Newsbeat 1500 21/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 21/06/2017

Sherehe ya kula nyama ya mbwa iliogubikwa na utata katika mji wa Yullin nchini China imeanza licha ya ripoti za awali kwamba ilikuwa imepigwa marufuku mwaka huu.Sherehe hiyo hufanyika kila mwaka katika mkoa wa Guangxi.

Je, tamaduni kama hiyo inastahili kuendelea?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com.

Mada zinazohusiana