Ndovu wamuokoa mwanandovu Korea

Ndovu wamuokoa mwanandovu Korea

Ndovu wawili, mamake mwanandovu na shangaziye, walishirikiana kumuokoa mwanandovu aliyekuwa ametumbukia kwenye kidimbwi cha maji mjini Seoul, Korea Kusini.