Magufuli: Ukishapata mimba ni kwaheri
Huwezi kusikiliza tena

Magufuli: Ukishapata mimba ni kwaheri shuleni

Rais wa Tanzania John Magufuli amenukuliwa akisema kwamba chini ya utawala wake wasichana wa shule wanaopachikwa mimba hawatoruhusiwa kurudi shuleni baada ya kujifungua.

Kiongozi huyo alikuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Chalinze magharibi mwa mji mkuu Dar es Salaam.

Mada zinazohusiana