Habari za Global Newsbeat 1000 26/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 26/06/2017

Nahodha wa timu ya kriketi ya wanawake ya India Mithali Raj, amewashangaza wengi katika michuano ya kuwania Kombe la Dunia siku ya Jumamosi kwa kusoma kitabu katikati ya mchezo huku akisubiri mpira.

Leo ni sikukuu ya Eid El-Firtr nchini Tanzania na Kenya.