Habari za Global Newsbeat 1500 26/06/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 26/06/2017

Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelii amesaini mkataba mpya ya mwaka mmoja na klabu yake. Muitaliano huyo alifunga magoli 15 katika ligue1 ya Ufaransa.Balotelli alisaini uhamisho wa bure kutoka Liverpool mwezi Agosti mwaka 2016.

Je, ungependa kuona Balotelli akichezea timu gani ya Uingereza?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com